BOIPLUS SPORTS BLOG

Na Akram Msangi 'Mido', Dar


Wachezaji wa Simba wakimpongeza Hamis Kiiza baada ya kuifungia bao timu hiyo


Mfungaji wa bao la kwanza la Simba Mwinyi Kazimoto akipambana na mlinzi wa Ndanda


Kiungo wa Ndanda William Lucian 'Gallas'  akiwa na beji ya unahodha. Msimu uliopita alikuwa akiichezea Simba


Awadh Juma akimpongeza Kiiza

Wachezaji wa Ndanda wakiweka ukuta ili mpira wa adhabu ndogo upigwe


Danny Lyanga akitafuta mbinu za kumtoka beki wa Ndanda Salvatory Ntebe


Kiungo wa Simba Jonas Mkude (20) akifanya vitu vyakePost a Comment

 
Top