BOIPLUS SPORTS BLOG

Na Akram Msangi

Wachezaji wa Simba wakimpongeza Awadh Juma aliyeinama baada ya kuipatia timu hiyo bao


Hatari langoni mwa Prisons


James Mwasote akimzuia Kiiza asiunase mpira


Juuko Murshid (6) na Lugano Mwangama (16) wakipambana katika mchezo huo ambao Simba walishinda bao 1-0


Vita ya Kiiza na Salum Kimenya haikuwa ndogo


Danny Lyanga akimiliki mpira mbele ya mlinzi wa Prisons


Nahodha wa Simba Mussa Hassan 'Mgosi' akichuana na Kimenya


Time will tell.......

Kikosi cha Prisons kilichopambana na Simba jana


Kikosi cha Simba kilichoanza dhidi ya Prisons jana

Post a Comment

 
Top