BOIPLUS SPORTS BLOG

Na Karim Boimanda, Dar

  Mshambuliaji wa Yanga Amissi Tambwe akijaribu kupiga shuti langoni mwa APR


 'Fundi' Haruna Niyonzima akimchekecha mlinzi wa APR katika mchezo wa jana ambao uliisha kwa timu hizo kutoka sare ya bao 1-1


 Kocha mkuu wa Yanga Hans Van Pluijm akimpongeza Donald Ngoma baada ya kuifungia timu hiyo bao pekee lililowahakikishia kutinga hatua ya pili ya ligi ya mabingwa Afrika


 Kiungo wa Yanga Thaban Kamusoko kushoto akifanya 'makeke' katikati ya viungo wa APR

 Manahodha wa Yanga na APR, Niyonzima na Jean Claude Iranzi wakipozi kupiga picha ya pamoja na waamuzi wa mchezo huo


 Kikosi cha APR kilichoanza jana dhidi ya Yanga


Kikosi cha Yanga kilichoanza jana dhidi ya APR

Post a Comment

 
Top