BOIPLUS SPORTS BLOG

 John Bocco akimpindua mlinzi wa Bidvest Wits


 Himid Mao kulia akipambana na viungo wa Bidvest


 Mlinzi wa kulia wa Azam, Shomari Kapombe akishangilia bao lake 


 Bocco katikati ya walinzi wa Bidvest Abubakary Salum 'Sure Boy' alifunga bao moja kati ya matatu waliyopata Azam

 Wachezaji wa Azam Kipre Balou na Allan Wanga wakifuatilia mchezo wa timu yao wakiwa jukwaani 

Kikosi cha Azam Fc kilichoanza dhidi ya Bidvest jana

Post a Comment

 
Top