BOIPLUS SPORTS BLOG

Na Akram Msangi aliyekuwa Tanga

 Kiungo wa Simba Jonas Mkude akichuana na kiungo wa zamani wa wekundu hao Abdulhalim Humud

 Wachezaji wa Simba wakimpongeza Hamis Kiiza (5) baada ya kuifungia simba bao la pili jana


 Mlinzi wa Coastal akitoa maelekezo kwa kipa wao


 Danny Lyanga akimtoka mlinzi wa Coastal


Mlinzi wa Simba Mohamed Hussein 'Tshabalala' akidhibitiwa na wachezaji wa Coastal

 Said Ndemla na Tshabalala wakijiandaa kupiga mpira wa adhabu ndogo

 Zaidi ya nusu ya wajumbe wa Kamati ya Utendaji ya Simba walikuwa jijini Tanga kuhakikisha wanaibuka na pointi tatu. Kutoka kushoto ni wajumbe Ally Suru na Kasmin, Msemaji Haji Manara na mzew Hassan Dalali 


 Kikosi cha Coastal kilichoanza dhidi ya Simba


Kikosi cha Simba kilichoanza dhidi ya Coastal

Post a Comment

 
Top