BOIPLUS SPORTS BLOG

Na Karim Boimanda, Dar

 Nahodha wa Taifa Stars Mbwana Samatta mara baada ya kushuka kwenye ndege


Kocha wa makipa, Peter Manyika akielekea kupanda basi la timu baada ya kuwasili Airport


 Taifa Stars Supporters wakitoa burudani uwanjani hapo wakati wanaisubiri Stars itue


 Mlinzi wa Stars, Shomari Kapombe akiteta jambo na mwandishi wa BOIPLUS


 Taifa Stars Supporters wakimkabidhi zawadi Samatta


 Kapombe akielekea kupanda basi 


 Mshambuliaji wa Stars, Thomas Ulimwengu akitua ndani ya Bongo

 Ibrahim Ajibu naye huyooo anadondoka...


 Aishi Manula na Mwinyi Haji nao wakiwasili


Kocha Charles Boniphace Mkwasa akizungumza na waandishi wa habari kabla hajaingia garini na kuondoka


Kutazama video clips tembelea kurasa zetu za:
Instagram @boiplus_blogspot
Facebook: Boiplus Blogspot
U-Tube: Boiplus TV

Post a Comment

 
Top