BOIPLUS SPORTS BLOG

Na Karim Boimanda, Dar

 Mshambuliaji wa Stars John Bocco 'Adebayor' akipambana na walinzi Haji Mwinyi kushoto na Erasto Nyoni


 Nahodha Mbwana Samatta akigombea mpira na kiungo Ramadhan Shiza Kichuya


 Kocha Boniface Mkwasa akimpa maelekezo Samatta


 Straika Adi Yussuf anayeichezea Mansfiel ya ligi daraja la pili nchini Uingereza


 Beki kisiki David Mwantika akiondosha hatari langoni mwake 


Kiungo wa Stars Himid Mao akimdhibiti straika 'mbabe' Thomas Ulimwengu

 Mshambuliaji Elius Maguri akitafakari mbinu za kumtoka 'kitasa' Kelvin Yondan aliyeanza mazoezi leo


 'Winga Teleza'  Deus Kaseke akimtoka Nyoni


 Mpambano wa mabeki wa pembeni Shomari Kapombe na Mohamed Hussein 'Tshabalala'


 Tshabalala akijiandaa kupiga krosi


 Kutoka kushoto ni Adi, Farid Mussa, Kaseke, Tshabalala na Samatta

 Ulimwengu anategemewa zaidi kwenye kasi ili kuwavuruga walinzi wa Chad


Kiungo Mwinyi Kazimoto mambo yake bado hayajakaa sawa baada ya leo tena kushindwa kufanya mazoezi


Kipa Aishi Manula akiokoa moja ya penati alizopigiwa mazoezini

 Ally Mustafa 'Barthez' nae akaifuata penati yake


Na mwisho Shaban Kado naye akafanya yake

Post a Comment

 
Top