BOIPLUS SPORTS BLOG

Na Karim Boimanda, Kigali
Wachezaji wa Yanga wakiwapungia mikono mashabiki wao waliokuja kuwapa 'support'


Simon Msuva na Deus Kaseke (4) wakimpongeza Thaban Kamusoko baada ya kuifungia Yanga bao la pili


Haruna Niyonzima akimpa mbinu kipa Ally Mustapha 


Niyonzima akimiliki mpira katika eneo la kati la uwanja


Amissi Tambwe akipita na mpira mbele ya mabeki wa APR


Daktari wa Yanga akimtibu Barthez baada kugongwa vibaya kabla hajafungwa bao na APR. Hii ilikuwa ni baada ya mechi kumalizika


Kamusoko akijiandaa kumtoka Yannick Mukunzi huku beki Rushashengoga Michel (22) akiwa tayari kutoa msaada


Kipa wa APR, Kwizera Oliver akiutazama mpira uliopigwa na Kamusoko ukitinga nyavuni


Makocha wa Yanga, Juma Mwambusi na Hans Van Pluijm


Makocha wa APR, Nizar Khanfir na Emmanuel Rubona


Raia wa mataifa ya Ulaya pia walikuwepo uwanjani kushuhudia mtanange huo


Hii ni sehemu ya mashabiki wa APR ambao walivalia sare za jeshi


Hawa ni mashabiki wa Yanga waliotoka jijini Dar na kuja Kigali kuishangilia timu yao. Hapa wamepewa suppoŕt na mashabiki wa hu


Paul Nonga na Said Makapu wakiwa jukwaani


Mfungaji wa bao la kwanza Juma Abdul akihojiwa na waandishi wa habari


Haruna Niyonzima akihojiwa na waandishi wa habari


Kikosi cha APR kilichoanza dhidi ya Yanga


Kikosi cha Yanga kilichoanza dhidi ya APR

Post a Comment

 
Top