BOIPLUS SPORTS BLOG

Na Akram Msangi, Chamazi

 Mlinzi wa kulia wa Azam, Shomari Kapombe akipiga krosi mbele ya kiungo wa Stand United, Haruna Chanongo


 Kapombe akipongezwa baada kuipatia Azam bao pekee lililowapa pointi tatu katika mchezo wa leo


 Kapombe akishangilia bao lake


 Kipa wa Stand, Frank Muwange akiwa amechuchumaa baada ya kukubali kuokota mpira nyavuni


 Beki wa Stand, Assouman N'guessan akizozana na kiungo wa Azam Jean Babtiste Mugiraneza 'Migi' huku John Bocco akisogea kuweka mambo sawa
 Kocha wa Stand Patrick Leiwig akiwa ameduwaa jinsi dakika zilivyokuwa zikiyoyoma huku timu yake ikiwa nyuma kwa bao moja


 Wachezaji wa Azam wakipeana morali kabla ya kuanza kwa mchezo huo


 Kiungo wa Stand, Seleman Selembe akizungumza na mabeki wa Azam Aggrey Moris na Erasto Nyoni baada ya kumalizika kwa mchezo huo


 Kocha wa Taifa Stars Charles Mkwassa akiwa na kocha mkuu wa Yanga, Hans Van der Pluijm wakishuhudia mchezo kati ya Azam na Stand


 Makamu wa Rais wa Simba, Geofrey Nyange 'Kaburu' naye alikuwepo jukwaani


 Kikosi cha Azam Fc kilichoanza dhidi ya Stand United leo


Kikosi cha Stand United kilichoanza dhidi ya Azam leo

Post a Comment

 
Top