BOIPLUS SPORTS BLOG

Na Akram Msangi 'Mido', Dar
Donald Ngoma akishangilia baada ya kuifungia bao timu yake ya Yanga


Beki wa Yanga, Mwinyi Haji akipiga krosi


Mlinzi wa kulia wa African Sports, Mwaita Ngereza akiondoka na mpira mbele ya kiungo wa Yanga Haruna Niyonzima


Niyonzima akionyesha 'yaliyomo' katika miguu yake


Thaban Kamusoko akiwa amewekwa 'mtu kati' na wachezaji wa African sports. Kamusoko amekuwa nguzo imara katika matokeo mazuri ya Yanga


Beki wa African Sports, Rahim Juma kulia akimdhibiti Ngoma

Wachezaji wa Yanga wakimpongeza Ngoma baada ya kupachika bao la pili kwa upande wa Yanga


Kipa wa Sports, Kabali Faraji kulia akiwa tayari kuondoa hatari langoni mwale


Wachezaji wa Yanga Niyonzima, Ally Mustafa 'Barthez' na Juma Abdul wakiingia uwanjani


Niyonzima akitafuta njia ya kiwatoka walinzi wa Sports

Kikosi cha African Sports kilichoanza dhidi ya Yanga


Kikosi cha Yanga kilichoanza dhidi ya African Sports

Post a Comment

 
Top