BOIPLUS SPORTS BLOG

Na Karim Boimanda, Dar 


TIMU ya Yanga leo inaikaribisha APR ya Rwanda katika mchezo wa marudiano wa klabu bingwa Afrika utakaochezwa kwenye dimba la Taifa jijini Dar es Salaam.

Kocha mkuu wa Yanga Hans Pluijm hajatangaza kikosi kitakachoanza leo lakini BOIPLUS inajua kuwa mabadiliko pekee yanayoweza kuwepo kwenye kikosi kilichocheza Kigali ambapo Yanga ilishinda mabao 2-1 ni kuingia kwa Mbuyi Twite badala ya Juma Abdul.

Post a Comment

 
Top