BOIPLUS SPORTS BLOG

Na Akram Msangi 'Mido', Dar

 Mabeki wa Yanga Kelvin Yondan kushoto na Juma Abdul wakitoka nje mara baada ya kutua Airport


Haruna Niyonzima kushoto na Ally Mustapha wakijongea kwenye gari yao taratibu


Huyu ni beki Pato Ngonyani ambaye jijini Kigali alichezeshwa katika nafasi ya kiungo


Vicent Bossou kushoto na kiungo nyota Thaban Kamusoko wakijadili jambo wakati wanaelekea kupanda gari na kuondoka Uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere


 Said Makapu ambaye hakuwemo katika kikosi cha wachezaji 18 waliopangwa kutumika katika mchezo wao dhidi ya APR huko Kigali


 Donald Ngoma na Haji Mwinyi wanacheeeeeka......ushindi raha jamani.


 Straika Paul Nonga ambaye hakupata nafasi ya kucheza jijini Kigali


Mtengenezaji wa bao la pili la Yanga, Ngoma akielekea kupanda gari baada ya kushuka kwenye ndege
 Yondan na Abdul


 Kocha mkuu Hans Van Pluijm akiwahi kupanda gari mara baada ya kutua JNIA


 Mlinzi wa kushoto, Oscar Joshua ambaye anagombea namba na Mwinyi
Post a Comment

 
Top