BOIPLUS SPORTS BLOG

Na Karim Boimanda

DROO ya nusu fainali ya ligi ya mabingwa barani Ulaya imemalizika muda mfupi uliopita huko Uswis na kushudiwa vigogo vinne vikipangiwa wa kupambananao mwishoni mwa mwezi huu.

Manchester City imepangwa kuanzia nyumbani ikiikaribisha Real Madrid huku Atletico Madrid wakiwakaribisha Bayern Munich jijini Madrid.

Michezo hiyo itachezwa Aprili 26 na 27 huku mechi za marudiano zikipigwa Mei 3 na 4

Post a Comment

 
Top