BOIPLUS SPORTS BLOG

Na Karim Boimanda, Chamazi
Beki wa Prisons Salum Kimenya (14) akipambana na Kipre Balou wa Azam huku John Bocco akisubiri kutoa msaada


Nahodha wa Prisons Laurian Mpalile akimdhibiti Didier Kavumbagu


Bocco akiwa katikati ya ulinzi wa mabeki wa Prisons


Shomari Kapombe akiipatia Azam bao la pili


Kipa wa Prisons Benno Kakolanya akiokoa hatari langoni mwake


Ramadhani Singano akimtoka Kimenya


Lugano Mwangama akimiliki mpira mbele ya kiungo wa AzamHamis Mcha


Mcha akipongezwa na Kavumbagu baada ya kuingia Azam bao la tatu


Wachezaji sita wa Prison wakimchunga Bocco


Kapombe akishangilia baada ya kuifungia bao la pili timu yake

Post a Comment

 
Top