BOIPLUS SPORTS BLOG

Na Mpiga Picha Wetu
 Simon Msuva (27) na Paul Nonga wakimpongeza Deus Kaseke baada ya kuifungia bao timu ya Yanga.

 Kiungo wa Yanga, Salum Telela akimtoka nahodha wa Mgambo JKT  Salum Mlima

 Hali ya mvua iliharibu ladha ya pambano hilo hasa katika kipindi cha kwanza ambapo mara kadhaa wachezaji walikuwa wakianguka kwa utelezi

 Beki wa kulia wa Yanga, Juma Abdul akichanja mbuga kuelekea langoni mwa Mgambo. Beki huyo amekuwa mpishi wa mabao mengi ya timu hiyo kutokana na uwezo wake wa kupanda kusaidia mashambulizi.

 Beki wa Mgambo akishika mpira baada ya kufanyiwa madhambi na Amissi Tambwe wa Yanga Wachezaji wa Mgambo wakijadili jambo wakati wa mchezo wao dhidi ya Yanga

 Kiungo wa Yanga, Haruna Niyonzima akipenyeza mpira katikati ya wachezaji wa Mgambo kuelekea kwa Msuva

Kipa wa Mgambo akipatiwa matibabu baada ya kupata maumivu

Post a Comment

 
Top