BOIPLUS SPORTS BLOG

 Viungo Himid Mao (mbele) na Jean Babtiste Mugiraneza 'Migi' walipowasili na kikosi chao cha Azam Fc katika uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere wakitokea nchini Tunisia walikoondolewa kwenye kombe la shirikisho kwa kufungwa mabao 3-0 na Esperance

Kiungo Frank Domayo

 Azam wataunganisha safari na kuelekea mjini Shinyanga kwa ajili ya mchezo wa nusu fainali ya kombe la FA dhidi ya Mwadui utakaopigwa siku ya jumapili Aprili 24 Kutoka kushoto: Allan Wanga, Kipre Tchetche na Abubakary Salum 'Sure Boy'

 Kama watawatoa Mwadui hiyo jumapili, Azam watakutana na mshindi kati ya Yanga na Coastal Union watakaopambana siku hiyo hiyo huko jijini Tanga
Post a Comment

 
Top