BOIPLUS SPORTS BLOG


 Farid Mussa kulia akipewa maelekezo na kocha jana, hiyo ilikuwa ni siku yake ya nne katika majaribio anayofanya kwenye Klabu ya daraja la kwanza, Deportivo Tenerif ya nchini Hispania

 Baada ya majaribio hayo, Farid ataelekea katika klabu ya Las Palmas na baadae Athletic Bilbao zote zinashiriki ligi kuu nchini humo 'La Liga'

 Farid atakuwa nchini Hispania kwa takribani mwezi mmoja 

Kama atafuzu, Azam Fc itanufaika kwa kumuuza kinda huyo, huku Tanzania ikiongeza idadi ya wachezaji wake wanaocheza barani Ulaya ambapo kwa sasa yupo Mbwana Samatta peke yake katika klabu ya KRC Genk, Ubelgiji


Picha zote kwa hisani ya Azam Fc

Post a Comment

 
Top