BOIPLUS SPORTS BLOG

Na Karim Boimanda, Tanga

 Daktari wa Yanga akimpa huduma ya kwanza mshika kibendera Charles Simon baada ya kuzimia kufuatia kupigwa na jiwe kichwani

Kipa wa Coastal Fikirini Bakari akiondosha mpira mbele ya wachezaji wa Yanga Vicent Bossou (9) na Issoufou Boubacary

 Straika wa Yanga Donald Ngoma akichuana vikali na beki Miraji Adam

Kiungo wa Yanga Haruna Niyonzima akiwatoka walinzi wa Coastal Beki wa Coastal Adeyum Salehe akimdhibiti Juma Abdul wa Yanga

 Pisha njia .....Deus Kaseke akitafuta mbinu za kumtoka mlinzi wa Coastal

 Issoufou akimwagiwa maji kwenye mchubuko alioupata kwenye paja

 Mfanyabiashara wa jijini Tanga ambaye aliwahi kuwa mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Simba, Sweddy Mkwabi (mwenye miwani) naye alikuwepo uwanjani kufuatilia mchezo huo

 Kikosi cha Coastal kilichoanza leo dhidi ya Yanga

Kikosi cha Yanga kilichoanza leo dhidi ya Coastal

Post a Comment

 
Top