BOIPLUS SPORTS BLOG

ABIDJAN, Ivory Coast
Mwanamuziki nguli wa Congo, Papa Wemba amefariki dunia huko Abidjan, Ivory Coast, usiku wa kuamkia leo.

Imeelezwa kwamba  marehemu Papa Wemba alifariki akiwa hospitalini  alikokimbizwa mara baada ya kuanguka na kupoteza fahamu wakati akiwa jukwaani kwenye onesho lake.

video

Papa Wemba aliyejipatia umaarufu mkubwa barani Afrika alizaliwa June 14, 1949 huko Lubefu wilayani  Sankuru nchini Congo.

Post a Comment

 
Top