BOIPLUS SPORTS BLOG

MCHEKESHAJI aliyekuwa anakuja juu kwa kasi Mohammed Abdallah  'Kinyambe' amefariki dunia leo usiku huko nyumbani kwako Mbeya.

Mmoja wa wanandugu wa Kinyambe amethibitisha  kuwa msanii huyo wa filamu  ambaye pia alikuwa akijulikana kwa jina la James, amefariki baada ya kuugua kwa siku kadhaa.

CHANZO: Saluti5.com

BOIPLUS itakuletea taarifa kamili juu ya kifo hicho

Post a Comment

 
Top