BOIPLUS SPORTS BLOG

KIKOSI CHA KWANZA

ZIKIWA zimesalia dakika 90 pambano la Simba na Azam lianze, BOIPLUS imepokea kikosi kipya cha Azam ambacho kina utofauti mdogo na kile ambacho tulipenyezewa hapo awali. Tulipouliza sababu za mabadiliko hayo tukajibiwa tu "Hii ni vita." 

Katika kikosi kipya, kiungo Wilfred Michael Balou ametupwa benchi huku straika John Bocco akijumuishwa katika kikosi cha kwanza. Kwa mfumo wa 3-5-2 wanaoutumia Azam ina maana sasa Hamis Mcha 'Vialli' atashuka kucheza eneo la kiungo ili Bocco akashirikiane na Kipre Tchetche katika ushambuliaji.

WACHEZAJI WA AKIBA
1.Mwadin Ali-1
2.Said Hussein-15
3.Abdallah Kheri-25
4.Bolou Wilfred-29
5.Mudathir Yahya-20
6.Ame Ali-24
7.Didier Kavumbagu-11

Post a Comment

 
Top