BOIPLUS SPORTS BLOG

LONDON, Uingereza
MAANDALIZI ya michuano ya mataifa ya Ulaya itakayofanyika nchini Ufaransa kuanzia Juni 10 hadi Julai 10 yanazidi kupamba moto kwa nchi kadhaa kutangaza vikosi vyao.

Leo kocha wa England, Roy Hodgson amekitaja kikosi cha wachezaji 26 huku akimjumuisha kinda wa Manchester United, Marcus Rashford ambaye amekuwa mchezaji muhimu katika kikosi cha mashetani hao wekundu.

Hiki hapa ndicho kikosi kamili cha Waingereza:

MAKIPA
 Joe Hart (Manchester City), Fraser Forster (Southampton), Tom Heaton (Burnley)

MABEKI
 Gary Cahill (Chelsea)
Chris Smalling (Manchester United)
John Stones (Everton)
Kyle Walker (Tottenham Hotspur)
Ryan Bertrand (Southampton)
Danny Rose (Tottenham Hotspur)
Nathaniel Clyne (Liverpool)

VIUNGO
Dele Alli (Tottenham Hotspur)
Ross Barkley (Everton)
Fabian Delph (Manchester City)
Eric Dier (Tottenham Hotspur)
Danny Drinkwater (Leicester City)
Jordan Henderson (Liverpool)
Adam Lallana (Liverpool)
James Milner (Liverpool)
Raheem Sterling (Manchester City)
Andros Townsend (Newcastle United)
Jack Wilshere (Arsenal)

WASHAMBULIAJI
Wayne Rooney (Manchester United)
Harry Kane (Tottenham Hotspur)
Jamie Vardy (Leicester City)
Daniel Sturridge (Liverpool)
Marcus Rashford (Manchester United)


Post a Comment

 
Top