BOIPLUS SPORTS BLOG

Na Akram Msangi, Dar
 Kocha mkuu wa Yanga, Hans Van der Pluijm akiwa ameongozana na beki kinara wa mashambulizi, Juma Abdul mara baada ya kumalizika kwa mchezo wao dhidi ya Esperanca katika uwanja wa Taifa ambapo Yanga ilishinda mabao 2-0

Geofrey Mwashiuya, Abdul na Simon Msuva wakimpongeza Matheo Anthony (10) baada ya kuipatia Yanga bao la pili katika dakika ya 90Mwashiuya akimfungisha tela mlinzi wa Esperanca

 Kiungo wa Yanga Haruna Niyonzima akitafakari jinsi ya kumtoka mchezaji wa Esperanca

 "Twende mbele baba....", kama vile Salum Telela anamhimiza Malimi Busungu apande mbele wakashambulie.

 Viongozi wa benchi la ufundi la Esperanca

 Viongozi wa benchi la ufundi la Yanga

 Baadhi ya wachezaji wa akiba wa timu ya Esperanca

Mwashiuya, Matheo na Mbuyu Twite walipokuwa benchi kabla ya kuingia na kubadilisha mchezo

Post a Comment

 
Top