BOIPLUS SPORTS BLOG

✏Akram Msangi, Dar
 Beki mpya wa Yanga, Hassan Kessy akiwa jukwaani baada ya kupewa jezi ya timu hiyo. Beki huyo aliitumikia Simba msimu uliopita

 Kiungo wa Free State ya Afika Kusini, Mrisho Ngassa akiwa ametinga 'uzi' wa wanajangwani
 Rais wa TFF, Jamal Malinzi akikagua timu kabla ya kuanza kwa mchezo wa fainali kombe la FA

 Kipa bora wa michuano ya FA, Aishi Manula wa Azam Fc akikabidhiwa tuzo yake

 Mfungaji bora wa kombe la FA, Atupele Green wa Ndanda Fc akinyoosha juu tuzo yake

 Mchezaji bora wa michuano ya FA, Juma Abdul wa Yanga akiwaonyesha mashabiki tuzo aliyokabidhiwa

 Wachezaji wa Yanga na Kocha Hans Pluijm, wakijipanga kwenda kuvishwa Medali za Ubingwa

 Nahodha wa Yanga, Nadir Haroub 'Canavaro'  akikabidhiwa 'Mwali' wao

 Sehemu ya wachezaji wa akiba wa Yanga, kutoka kushoto ni Haji Mwinyi, Canavaro, Salum Telela na Mbuyu Twite

 Benchi la ufundi la Azam Fc

 Benchi la ufundi la Yanga

Kikosi cha Azam kilichoanza dhidi ya Yanga

Kikosi cha Yanga kilichoanza dhidi ya Azam

Post a Comment

 
Top