BOIPLUS SPORTS BLOG

Na Akram Msangi, Dar
Makamu wa Rais wa Simba, Godfrey Nyange 'Kaburu' akiwa jukwaani  kushuhudia timu yake ikipigwa na Mwadui bao 1-0

Kasim Dewji akitupiwa maneno makali  na mashabiki wa Simba ambao wamechoshwa kiwango kibovu kinachoonyeshwa na timu hiyo

Straika wa Simba, Ibrahim Ajib akitoka nje baada ya kuonyeshwa kadi nyekundu katika dakika ya 90 

Wachezaji wa Mwadui wakifurahia ushindi walioupata jioni ya jana

Kiungo wa Simba, Mwinyi Kazimoto akimiliki mpira katika eneo la kati la uwanja, bado uzoefu wake ulishindwa kuinusuru timu hiyo isiepuke kipigo

Peter Mwalyanzi amekuwa akipata nafasi ya kuanza kwenye kikosi cha kwanza siku za hivi karibu, bado jitihada zake hazikuiletea matunda Simba

Kipa wa Mwadui, Shaban Kado akiwa chini baada ya kuumia, kipa huyo hakuweza kuendelea na mchezo huo

 Kocha mkuu wa Mwadui, Jamhuri Kihwelo 'Julio' akionekana mwenye furaha

Wachezaji wa kigeni wa Simba, Emery Nimubona na Vicent Angban wakitoka nje kwa majonzi

 Wachezaji wa Mwadui wakishangilia bao lao pekee dhidi ya Simba lililofungwa na Jamali Mnyate

 Benchi la Simba....


 Kikosi cha Mwadui kilichoanza dhidi ya Simba jana

Kikosi cha Simba kilichoanza dhidi ya Mwadui

Post a Comment

 
Top