BOIPLUS SPORTS BLOG

Na Sheila Ally, Shinyanga
Simon Msuva na Juma Abdul wakimpongeza Amissi Tambwe baada ya kuifungia timu hiyo bao la tatu dhidi ya Acacia Stand United

 Full Shangwe......raha ya pointi tatu za ugenini hii

 Kiungo wa Yanga, Thaban Kamusoko akipambana na viungo wa Stand katika eneo la kati la uwanja ambapo ndipo ilijaa burudani ya mechi hiyo

 Msuva akiondoka na 'Kijiji'.....
Tangu Stand ipande daraja haijawahi kuambulia hata sare dhidi ya Yanga, wamepoteza mara zote walizokutana

 Mkongwe Amri Kiemba akijaribu kutumia uzoefu wake kuokoa jahazi la Stand lisizame, lakini jitihada hazikuzidi kudra, Stand ikapigwa mabao 3-0 Tambwe sasa anaongoza kwenye orodha ya wafungaji bora baada ya kutupia mabao 20 na kuvunja rekodi yake ya mabao 19 katika msimu mmoja Kikosi cha Stand United kilichoanza dhidi ya Yanga

Kikosi cha Yanga kilichoanza dhidi ya Stand United

Post a Comment

 
Top