BOIPLUS SPORTS BLOG

Na Marco Ngavenga, Mbeya
Kocha mkuu wa Yanga, Hans Van Pluijm akiteta jambo na kipa wa Mbeya City Juma Kaseja baada ya mechi ya ligi kuu kati ya Yanga na Mbeya City

Beki wa Mbeya City Haruna Shamte akiondosha hatari langoni mwao

Kaseja akidaka mpira mbele ya mshambuliaji wa Yanga, Simon MsuvaAmissi Tambwe akishangilia bao lake alilofunga kwa shuti kali akiwa nje ya eneo la 18Wachezaji wa Yanga wakishangilia bao la kwanza lililofungwa Vicent Bossou


Shabiki wa Yanga ambaye ana ulemavu wa mguu akishangilia baada ya Tambwe kufunga bao la pili.

Donald Ngoma (11) akiruka kupiga kichwa mpira katikati ya mabeki wa City.


Kocha wa City, Kinnah Phiri akisalimiana na Pluijm


Post a Comment

 
Top