BOIPLUS SPORTS BLOG

Sergio Ramos akiwa amembeba mwanae

James Rodriguez akipozi na binti yake kupiga picha na kombe

Kikosi cha Madrid wakiwa wamechanganyika na watoto wao katika picha ya pamoja

Cristiano Ronaldo akiwa na mwanae Cristiano Jr wakionyesha ishara ya vidole vitatu sawa na makombe ya UEFA aliyowahi kutwaa

Gareth Bale akifurahia na binti yake

Marcelo naye akiwa na mtoto wake.....hili ni kombe lake la pili la UEFA

Lucas Vasques na Luka Modric wakiwa na wapenzi wao

Marcelo akiwa na mpenzi wake

Zinedine Zidane akiwa na mpenzi wake ndani ya ndege wakirejea jijini Madrid na kombe lao

Ramos akiwa na familia yake uwanjani
Pepe akiwa na familia yake

Isco akiwa na mtoto wake

Alvaro Arbeloa naye alikuwepo na familia yake

Kaylor Navas alijumuika na familia yakeMke wa Modric akiwa na mwanae kushoto pamoja na mtoto wa Marcelo

Cristiano Jr akiwa na shangazi zake

Mke wa Casemiro pia alikuwepo uwanjani

Mke na watoto wa Navas

Post a Comment

 
Top