BOIPLUS SPORTS BLOG

Na Karim Boimanda, Dar
 Hatimaye......mwali mkononi!

 Kocha msaidizi, Juma Mwambusi akishangilia mara baada ya mpira kwisha

 Straika Donald Ngoma akiwa na mpenzi wake aliyeingia uwanjani kumpongeza

 Thaban Kamusoko na Ngoma wakiwa na wenza wao na bendera ya taifa lao Zimbabwe

 Mkuu wa kitengo cha habari Yanga, Jerry Muro akitaniana na mpenzi wa Ngoma

 Meneja Hafidh, Kocha mkuu Hans Pluijm na Mwambusi katika picha ya pamoja

 Winga Deus Kaseke akionyesha medali yake

 Shangwe uwanja mzima......

 Shangwe kila kona...... Paul Nonga na Kaseke wakipozi na kocha wao Pluijm huku 'mwali' akiwa mbele yaoPicha zaidi zinapatikana katika ukurasa wetu wa Facebook BOIPLUS BLOGSPOT

Post a Comment

 
Top