BOIPLUS SPORTS BLOG

MADRID, Hispania
STRAIKA wa Real Madrid ya Hispania, Cristiano Ronaldo asubuhi ya leo alishindwa kuendelea na mazoezi baada ya kupata maumivu hali iliyoleta taharuki katika kikosi hicho kiasi cha madaktari wote kumzunguka ili kubaini tatizo.

Madrid inajiandaa kupambana na Atletico Madrid katika fainali ligi ya Mabingwa barani Ulaya itakayopigwa Jumamosi huko Milan, Italia.

Hizi hapa ni baadhi ya picha zinazoonyesha tukio hilo.Post a Comment

 
Top