BOIPLUS SPORTS BLOG

CAIRO, Misri
SHIRIKISHO la soka barani Afrika (CAF) limetangaza makundi ya kombe la shirikisho huku Yanga ikipangwa kundi A pamoja na mabingwa wa zamani wa Afrika, TP Mazembe ya DR Congo, MO Bejaia ya Algeria na Medeama ya Ghana.Kundi B linaundwa na timu za Kaskazini mwa Afrika tupu ambazo ni Etoile du Sahel ya Tunisia ambao ni mabingwa watetezi, Ahly Tripoli ya Libya, FUS Rabat na Kawkab zote za Morocco.

Post a Comment

 
Top