BOIPLUS SPORTS BLOG

ZURICH, Uswisi
FIFA imetangaza viwango vya ubora kwa soka la wanaume huku ikishuhudiwa Argentina wakiongoza duniani ikifuatiwa na Ubelgiji. Tanzania imeendelea kuporomoka ikiizidi Sudan pekee kwa upande wa Afrika Mashariki na kati.


Haya hapa ni mataifa 20 bora kwenye mabano zikiwa ni alama walizojikusanyia.

1 Argentina (1503)
2 Belgium (1384)
3 Colombia (1328)
4 Germany (1310)
5 Chile (1293)
6 Spain (1267)
7 Brazil (1257)
8 Portugal (1181)
9 Uruguay (1150)
10 Austria (1077)
11 England (1069)
12 Italy (982)
13 Ecuador (978)
14 Netherlands (959)
15 Switzerland (948)
16 Mexico (942)
17 France (925)
18 Turkey (919)
19 Ukraine (894)
20 Hungary (886)

Kwa upande wa ukanda wa Afrika Mashariki na kati(CECAFA)

1. Uganda (72)
2. Rwanda (103)
3. Ethiopia (125)
4. Sudan (128)
5. Kenya (129)
6. Tanzania (136)
7. S. Sudan (157)

Post a Comment

 
Top