BOIPLUS SPORTS BLOG

Mwandishi wetu
BODI ya Ligi (TPLB) ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), imetangaza makundi matatu ya timu zitakazoshiriki Ligi Daraja la Kwanza ya StarTimes msimu wa 2016/17.

Michuano hiyo inatarajiwa kuanza Agosti mwaka huu mara baada ya kukamilisha mchakato wa usajili unaoanza Juni 15.

 Makundi hayo yenye timu nane kwa kila moja, yamegawanywa kwa alama A, B na ‘C’.

Kundi A

 1. Abajalo ya Dar es Salaam

2. African Sports ya Tanga

3. Ashanti United ya Dar es Salaam

4. Kiluvya United ya Pwani

5. Friends Rangers ya Dar es Salaam                 

6. Lipuli  ya Iringa               

7. Mshikamano FC ya Dar es Salaam         

8. Polisi Dar ya Dar es Salaam

 Kundi B

1.JKT Mlale ya Ruvuma

2. Coastal Union ya Tanga

3. Kimondo FC ya Mbeya

4 .Kinondoni Municipal Council ya Dar es Salaam

5. Kurugenzi ya Iringa

6. Mbeya Warriors ya Mbeya

7. Njombe Mji  ya Njombe

8. Polisi Morogoro      ya Morogoro

 Kundi C

1.Alliance Schools ya Mwanza

2. Mgambo Shooting   ya Tanga

3.Mvuvumwa FC ya Kigoma

4. Panone FC ya Kilimanjaro

5. Polisi Dodoma        ya Dodoma

6. Polisi Mara   ya Mara

7. Rhino Rangers        ya Tabora

8 . Singida United ya Singida

Post a Comment

 
Top