BOIPLUS SPORTS BLOG

Akram Msangi, Dar


 Straika wa TP Mazembe, mtanzania Thomas Ulimwengu akionyesha uso wa furaha baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere usiku huu


 Kocha wa Mazembe akitoka nje ya uwanja wa ndege


Beki Merveille Bope akielekea kupanda basi mara baada ya kushuka katika uwanja wa ndegeKiungo mshambuliaji, Roger Asalle naye yumo kwenye msafara huo


Huyu ndiye Jose Badibake, kiungo wa kutumainiwa wa MazembePost a Comment

 
Top