BOIPLUS SPORTS BLOG

Karim Boimanda, Diamond Jubilee, Dar
 Sehemu maalumu iliyoandaliwa kwa ajili ya kupigia kura

 Wanachama wa Yanga wakiwa nje ya geti kwenye foleni ya kuhakikiwa kabla hawajaingia ukumbini

 Hizi ni foleni mbili za kuhakikiwa

 Wanachama wenye kadi za Benki ya Posta wakihakikiwa na maafisa wa Benki hiyo

 Ndani ya Ukumbi watu wametulia wakisubiri muda ufike wafanye maamuzi, amani imetawala eneo hili

 Bado kuna viti vingi vinaonekana havina watu

 Wafanyakazi wa Huduma ya Kwanza wakiwa tayari kutoa msaada pale itakapohitajika

 Mchezaji wa zamani wa Yanga Aron Nyanda ni mmoja kati ya waliohudhuria, Nyanda alichukua fomu ya kugombea umakamu mwenyekiti kwenye Ofisi za TFF, baadaye akaamua kujitoa katika kinyang'anyiro hicho Haya ni masanduku yatakayotumika kukusanyia kura zilizopigwa

 Mshambuliaji wa zamani wa Yanga, Mohamed Hussein 'Mmachinga' akiteta jambo na mzee Maneno

Mkuu wa kitengo cha habari na mahusiano cha klabu ya Yanga, Jerry Muro akiwa na Sam Mapande, Mwenyekiti wa kamati ya Uchaguzi

Post a Comment

 
Top