BOIPLUS SPORTS BLOG

Karim Boimanda
 MSHAMBULIAJI wa TP Mazembe ya DRC na Timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars', Thomas Ulimwengu, leo amesherehekea siku yake ya kuzaliwa akiwa jijini Lubumbashi. 


 Katika kujipongeza, Ulimwengu amejizawadia gari ya kifahari aina ya Cross Fire (pichani) ambayo imemgharimu kiasi cha Dola 25,000  (zaidi ya Sh 50 Milioni)


Ulimwengu amekosa michezo mitatu ya ligi akiuguza majeraha aliyoyapata akiitumikia Stars katika mchezo dhidi ya Misri. Baada ya matibabu amejiunga na wenzake jioni hii kwa ajili ya mchezo dhidi ya SM Sanga Balende hapo kesho kwenye uwanja wa TP Mazembe


video

Post a Comment

 
Top