BOIPLUS SPORTS BLOG

Karim Boimanda, Dar
Chanongo katikati akikabidhiwa jezi na Mratibu wa Mtibwa Sugar, Jamal Bayser kulia . Kushoto ni Meneja wa mchezaji huyo Jamal Kisongo

WINGA wa zamani wa Simba na Stand United, Haruna Chanongo leo amesaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia Mtibwa Sugar ya Manungu ya Morogoro.

Chanongo aliachana na Stand baada ya kuingia kwenye mgogoro na kocha mkuu Patrick Leiwig na sasa anaenda kujaribu bahati yake na wakata miwa hao wa Turiani.

Chanongo akisaini mbele ya Bayser

Post a Comment

 
Top