BOIPLUS SPORTS BLOG

Akram Msangi, Dar
Beki Andrew Vicent 'Dante'  akimiliki mpira mazoezini

Fundi Thaban Kamusoko akiweka sawa kamba za viatu vyake ili kuendelea na mazoezi huko BokoMlinzi Kelvin Yondan akiwangoza wenzake katika mazoezi ya kukimbia

Kamusoko akimshauri jambo kocha Hans Van Pluijm

Pluijm akiteta jambo na walinzi wake Yondan katikati na Nadir Haroub 'Canavaro'Pluijm akimwelekeza jambo straika aliyerejea uwanjani hivi karibuni, Malimi Busungu.

Waziri Mwigulu Nchemba naye alipata nafasi ya kuwatembelea vijana hao wa Jangwani.Beki Juma Abdul anakabiliwa na upinzani mkubwa toka kwa Ramadhan Kessy kwenye nafasi ya beki wa kulia

Kutoka kushoto ni Dante, Juma Mahadhi na Simon Msuva Kocha wa makipa, Juma Pondamali akiwanoa makipa wa timu  hiyo ambao ni Ally Mustapha 'Barthez', Benno Kakolanya na Deogratius Munishi 'Dida'


Post a Comment

 
Top