BOIPLUS SPORTS BLOG

Mwandishi Wetu, Dar
KLABU ya Simba imetangaza kusogeza mbele tarehe ya mkutano wake mkuu ambao hapo awali ulipangwa kufanyika Julai 10.

Hii hapa ni taarifa ya klabu kwa vyombo vya habari ambayo inaeleza kuwa sababu kubwa ni kupisha zoezi la usajili kuelekea maandalizi ya msimu ujao wa ligi kuu ya Vodacom.


Post a Comment

 
Top