BOIPLUS SPORTS BLOG

Akram Msangi, Dar
Kikosi cha Simba kimeagwa kwa dua maalumu leo kwenye makao makuu ya klabu kabla ya kuanza safari kuelekea kambini mjini Morogoro

Kocha Mkuu Joseph Omog akiwa na msaidizi wake Jackson Mayanja katika dua hiyo

Rais wa Simba Evans Aveva akiteta jambo na makamu wake Geofrey Nyange 'Kaburu' kulia

Sehemu ya wachezaji wa Simba wakiwa wameketi chini wakati wa dua hiyo inaendeleaKipa Manyika Jr akiingia klabuni hapo

Beki wa kushoto Mohamed Hussein 'Zimbwe Jr' Kaburu akiwasili klabuni hapo

Beki kisiki Juuko Murshid akiwasili klabuni hapo

Kiungo mpya, Moussa Ndusha naye alikuwepo


Post a Comment

 
Top