BOIPLUS SPORTS BLOG

Mpiga Picha Wetu
 Kiungo mpya wa Simba, Mkongomani Moussa Ndusha kushoto akiwa na kipa Vicent Angban na beki Besala Janvier Bukungu katika mazoezi ya timu hiyo yaliyofanyika kwenye uwanja wa jeshi la Polisi, Kurasini.


 Ndusha akijiandaa kuingia uwanjani, kiungo huyo amewavutia watu wengi wakiwemo kocha Joseph Omog na wachezaji wa Simba ambao wamekiri "jamaa ni fundi"

Wachezaji wengine waliofanya mazoezi ni mshambuliaji Blagnon Fredrick kutoka Ivory Coast na beki Method Mwanjala wa Zimbabwe huku Shizza Kichuya akitarajiwa kuanza mazoezi kwenye kambi ya mjini Morogoro


Kikosi cha Simba kitaondoka kesho kuelekea Morogoro kwa ajili ya kambi ya maandalizi ya msimu mpya wa ligi kuu

Post a Comment

 
Top