BOIPLUS SPORTS BLOG

Karim Boimanda, Dar

HATIMAYE klabu ya Simba imefanikiwa kupata hati ya umiliki wa kiwanja chao kilichopo Bunju Kitalu namba 226, 'Block' 1
 hivyo sasa ile hofu ya uvamizi katika eneo hilo itakuwa imemalizika rasmi.

Pichani ni Mdhamini wa Klabu ya Simba, Ramesh Patel  (kulia) akikabidhiwa hati ya kiwanja hicho na afisa wa Ofisi ya Msajili wa Hati, Mpoki Mwalufunda huku Msajili Msaidizi wa Hati, Apollo Laizer (katikati) akishuhudia makabidhiano hayo.

Post a Comment

 
Top