BOIPLUS SPORTS BLOG

Mwandishi Wetu
Hizi ni picha za wasanii mbalimbali wakitumbuiza katika Tamasha la Kimataifa la Filamu visiwani Zanzibar. Pichani ni Bayo, msanii wa muziki wa anayekuja kwa kasi Snura na yeye alikinukisha katika tamasha hilo

Huku Majanga kule Chura.....

Baby J alikuwa katika uwanja wa nyumbani kuwapagawisha watu waliohudhuria tamasha hilo


Post a Comment

 
Top