BOIPLUS SPORTS BLOG

MICHUANO ya Sports Xtra Ndondo Cup 2016 imemalizika leo kwa Temeke Market kuibuka mabingwa baada ya kuibamiza Kauzu FC mabao 3-1. 
Ukiachana na matokeo hayo, kitu kingine ambacho kilikuwa na mvuto wa kipekee katika fainali hiyo ni vituko vya mashabiki wa timu hizo, hizi hapa ni baadhi ya picha zinazoonyesha mbwembwe za wanazi hao.


Post a Comment

 
Top