BOIPLUS SPORTS BLOG

Karim Boimanda
KAMPUNI ya uchimbaji madini ya ACACIA imetangaza kuvunja mkataba wa udhamini na Stand United FC kama tu watashindwa kuweka sawa mambo yao.

Mkurugenzi wa Kitengo cha Mahusiano na Mawasiliano ya kampuni hiyo, Nector Foya ameipasha BOIPLUS kuwa waametoa notisi ya miezi mitatu kwa Stand baada ya kuchoshwa na migogoro.

BOIPLUS ilimtafuta Mwenyekiti wa Stand, Dr. Elson Maeja ambaye alikiri kupokea barua kutoka kwa mdhamini huyo ikiwataka wawe wamemaliza migogoro yao ndani ya miezi mitatu na ikishindikana basi ndoa hiyo itakuwa imevunjika rasmi.

Habari kamili itawajia hapa hapa BOIPLUS 

Post a Comment

 
Top