BOIPLUS SPORTS BLOG

Karim Boimanda, Dar
 Nahodha wa Simba Mussa Hassan 'Mgosi' amestaafu rasmi kucheza soka na kuanzia leo atakuwa meneja wa timu hiyo

Hapa Mgosi alikuwa akimvisha kitambaa cha unahodha Jonas Mkude ambaye anachukua mikoba hiyo

Mgosi akikumbatiana na Jamal Mnyate baada ya kufanyiwa mabadiliko katika tukio rasmi la kustaafu soka

Shujaa Mgosi akimchukua mtoto wake kutoka kwa mkewe 

Familia ya Mgosi ilikuwepo uwanjani kwa ajili ya tukio hilo la kihistoria

Mgosi akikumbatiana na meneja anayemaliza muda wake, Abbas Ally

"Hiki ndicho kiti chako mwanangu"

.......na hapa Mgosi akaanza kazi rasmi

Post a Comment

 
Top