BOIPLUS SPORTS BLOG

Swabri Kachwamba, Bukoba
UWANJA wa Kaitaba mkoani Kagera uko kwenye hatua za mwisho za matengenezo ambapo zoezi la uwekaji wa nyasi bandia linaendeleaBaadhi ya vifaa vinavyotumika kukamilisha zoezi hilo ili wanja uanze kutumika msimu huu wa ligi. Huu ni uwanja wa nyumbani wa Kagera Sugar.

Gundi na Raba ziliwasili jana 


Post a Comment

 
Top