BOIPLUS SPORTS BLOG

Mpigapicha Wetu
 Kikosi cha Yanga kilifanya mazoezi ya mwisho jana jioni kuelekea mchezo wao wa kombe la shirikisho dhidi ya TP Mazembe utakaochezwa leo jijini Lubumbashi

Kiungo Juma Mahadhi anategemewa kurejesha makali aliyowaonyesha Mazembe katika mchezo wa awali uliochezwa jijini Dar

 Nahodha Nadir Haroub 'Canavari' na Amissi Tambwe wakisogeza goli lilitumika mazoezini jana

Kocha Hans Pluijm akitoa maelekezo kwa beki Pato Ngonyani, kulia ni kocha msaidizi Juma Mwambusi 

Post a Comment

 
Top