BOIPLUS SPORTS BLOG

 Laudit Mavugo aliwafanya mashabiki wa Simba wasahau shid zao jana, alichangia upatikanaji wa mabao mawili huku akitupia moja katika ushindi wa mabao 4-0 dhidi AFC Leopards Mashabiki wa Yanga walialikwa kula keki ya kutimiza miaka 80 ya Simba

 Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda katikati alikuwa mgeni rasmi. 

Mohamed Dewji 'Mo' akitetea jambo na Rais wa Simba Evans Aveva

Mwenyekiti wa kamati ya Usajili ya Simba Zacharia Hans Poppe katikati alikuwepo uwanjani kuangalia kazi ya mikono yake

 Mavugo akishangilia bao lake

 Beki wq kushoto Mohamed Hussein akimpongeza Mavugo

 'Fundi wa mpira' Muzamir Hassan alipotambulishwa kwa mashabiki wa wekundu hao

 Mshambuliaji raia wa Ivory Coast Fredric Blagnon alitambulishwa 

Wanachama wa Simba kutoka tawi la SDF, Tabata wakiwa wamepozi kusubiri mtanange kati ya Simba na AFC Leopards

Kikosi cha kwanza cha AFC Leopards

Kikosi cha kwanza cha Simba

Post a Comment

 
Top