BOIPLUS SPORTS BLOG

Akram Msangi na Ally Shatry, Dar
 Laudit Mavugo akimpongeza straika mwenzake Fredrick Blagnon (27) baada ya kuifungia timu hiyo bao la pili dhidi ya Ndanda katika mchezo wa ufunguzi wa ligi kuu ya Vodacom

 Asipobebwa furaha yake haikamiliki.......Kichuya aliifungia Simba bao la tatu. Hapa akipongezwa kwa kubebwa na Mavugo

 Kipa wa Ndanda Jackson Chove akipangua mpira wa kona iliyochongwa na Mohamed Hussein kabla mpira huo haujamkuta Kichuya aliyeutumbukiza nyavuni kiufundi

 Ibrahim Ajib alitolewa kipindi cha pili huku nafasi yake ikichukuliwa na Blagnon

 Kipenzi cha wanamsimbazi, Mavugo akiwatazama mashabiki 

 Hii ndio kona iliyozaa bao la tatu la Simba

 Mwamuzi akitazama saa yake baada ya Chove kupata maumivu Chove akipatiwa matibabu uwanjani

 Nahodha wa Ndanda Kiggi Makasi akimzuia Jamal Mnyate wa Simba huku Salum Telela akiwa tayari kutoa msaada Kikosi cha Ndanda kilichoanza jana 

Kikosi cha Simba kilichoanza jana

Post a Comment

 
Top